SW/Prabhupada 0033 - Mahaprabhu's Name is Patita-pavana



Morning Walk -- October 4, 1975, Mauritius

Puṣṭa Kṛṣṇa: Serikali leo hii ina unga mkono matendo makubwa ya dhambi. Kwa hivyo inawezekanaje kubadilisha mawazo ya watu?

Prabhupāda: Unataka kusema kuwa serikali haina kasoro?

Puṣṭa Kṛṣṇa: La.

Prabhupāda: Alafu? Lazima wasukumwe. Serikali siku hizi imejaa wajinga. Wachaguliwa na wajinga na niwajanga. Hii ndio shida. Popote uendapo, utakutana na wajinga tu. Manda. Maana imepeanwa, manda. Hata kwenye hii kambi yetu kuna wajinga wengi sana. Angalia tu ripoti. Hata waliokuja kurekebishwa pia ni wajinga. Hawawezi kuacha ujinga wao. Kwa hivyo kwa jumla, manda: "yote mbaya." Tofauti nikuwa kwa kambi yetu mabaya yana rekebishwa; nje hakuna urekebisho. Kuna matumaini ya wao kuwa wazuri, lakini nje hakuna matumaini. Hiyo ndio tofauti. La sivyo kila mtu ni mbaya. Bila ubaguzi wowote unaweza kusema. Mandāḥ sumanda-matayo (SB 1.1.10). Sasa, serikali itakuwaje na uzuri? Hiyo pia ni mbaya. Jina la Mahāprabhu's Patita-pāvana; Anakomboa watu wote walio wabaya. Katika Kali-yuga hakuna watu wazuri kamwe - wote ni wabaya. Lazima uwe na nguvu ndio uweze kupabana na watu hawa wote wabaya.