SW/Prabhupada 1065 - Lazima kwanza mtu ajifunze kuwa yeye sio huu mwili



660219-20 - Lecture BG Introduction - New York

Hali ambayo hatuna uhuru inatokana na kuchafuliwa na mambo ya kidunia, Na iyo fahamu ya kiongo... Ina dhiirishwa na katika ile hali yakuza, "Mimi mojawapo ya matokeo ya hi dunia." Iyo ni fahamu ya uongo. Matendo yote duniani, yasyātma-buddhiḥ kuṇape tri-dhātuke (SB 10.84.13). Yasyātma-buddhiḥ kuṇape tri-dhātuke, aliyezama kwenye mafikra ya ki mwili, Bhagavad-gita nzima iliongewa kwa sababu Arjuna alionyesha kufikira yake kuwa ya mwili Kwa hi yo lazzma mtu awebila mafikra ya kimwili. Iyo ndio kitu cha kwanza, ikiwa mtu anataka kuwa huru. Kwanza anafaa kujua kuwa yeye sio huu mwili. Tunapokuwa huru, bila machafuko ya kidunia, tunasemekana kuwa katika hali ya mukti. Mukti au uhuru, inamaana kuwa tumeokolewa kutokana na fahamu ya kidunia. Kwenye Srimad Bhagavatam maana ya Uhuru imetajwa kuwa: muktir hitvānyathā rūpaṁ svarūpeṇa vyavasthitiḥ (SB 2.10.6). Svarūpeṇa vyavasthitiḥ. Mukti inamaanisha kuwa huru wa machafuko fahamu za kidunia Na kuwa katika hali ya fahamu safi Na mafundisho yote ya Bhagavad-gita yana lenga kudinzua fahamu hiyo iliyo safi. Tutaona kuwa maelezo ya mwisho ya Bhagavad-gita Krishna anamuuliza Arjuna ikiwa yuko kwenye fahamu safi wakati huo Ikiwa yuko katika fahamu safi. Iyo fahamu safi ni kutenda kulingana na matakwa ya Bwana. Hiyo ndiyo, fahamu safi. Hiyo ndio fahamu safi kwa jumla. Fahamu tayari iko, tuna athirika kwa sababu sisi ni mojawapo ya sehemu ya Bwana. Kuna mwisho wa ku athirika na hali za dunia. Lakini sababu Bwana yu mkkuu, kamwe haathiriwi. Iyo ndio tofauti ya Bwana Mkuu na... Hii ni fahamu sasa...

Fahamu Ni nini? Fahamu ya kuwa "Mimi ni." Mimi ni nini? Katika hali ya fahamu chafu, "Mimi ni" inamaanisha "Mimi ndiye Bwana wa vitu vyote ninavyo on a." Hii ni fahamu isiokuwa safi. Na pia "Mimi ndiye mwenye kufaidi." Dunia yote imetajwa na vitumbe ambayo wanafikiria kuwa "Mimi ndiye bwana na mimi ndiye muumba hii dunia." Hi fahamu ina gawanyika mara mwili. Ya kwanza ni kuwa "Mimi ndiye muumba," na nyingine ni " Mimi ndiye mwenye kufaidi." Kwa hivyo Mwenyzi Mungu kwa ukweli ndiye muumba na mwenye kufaidi. Na viumbe vyote ni sehemu yake Mwenyezi Mungu, Yeye siye muumba au mfaidi kamili bali yeye ni mfundi. Kama vile mashine nzima. Au Kama tunaweza kutafiti viungo vya miili yetu. Kwenye mwili, kuna mikono, miguu, macho, na viungo hivyo vyote, vinavyo fanya kazi, walking viungo hivi vyote vya mwili hazifaidi. Tumbo ndio inayo faidi. Miguu inatembea, kutoka mahali pamoja hadi pengine. Mikono in inaokota, na kupika vyakula, Na meno ina tofuna, na viungo vyote vya mwili, vinahusika kutosheleza tumbo kwa sababu tumbo ndiyo kuu zaidi mwilini kwa jumla Kwa hivyo vitu vyote vinafaa kupeanwa kwa tumbo. Prāṇopahārāc ca yathendriyāṇām (SB 4.31.14). Kama vile mti unaweza kumea kwa kumwaga maji kwenye mizizi. Au unaeza kuwa buheri wa afya... Viungo vya mwili- mikono, miguu, macho, masikio, vidole Kila kitu kinapata afya wakati ambapo kuna ushirikiano na tumbo. Vile vile, Kiumbe Kikuu, Bwana, yu mfaidi na pia muumba. Na sisi kama viumbe mfano wa nguvu za Mwenyezi Mungu, letu ni kushirikiana naye. Uo ushirikiano utasaidia. Kama kwa mfano, chakula kizuri kikiliwa na vidole. Vidole vikifikiria kuwa, "Mbona nilishe tumbo?" Wacha tufurahie." Itakuwa makosa. Vidole haviwezi furahia. Ikiwa vidole vinataka matunda ya furaha ya chakula fulani, lazima vilishe tumbo.