SW/Prabhupada 0007 - Krishna's Maintenance Will Come



Lecture on SB 1.5.22 -- Vrndavana, August 3, 1974

Brahmānanda : kuwa Brāhmaṇa sio kukubali kuajiliwa.

Prabhupāda: Hapana. Atakufa njaa. hawezi kubali ajira yoyote. huyo ni brāhmaṇa. Kṣatriya pia, na vaiśya pia. śūdra. pekee. mwanabiashara atatafuta biashara. atatafuta biashara. hivyo kuna hadithi. mtu mmoja, Bw. Nandi .zamani ,zamani za kale, katika Culcutta, alienda kwa rafiki yake "kama unaweza nipatia pesa fulani naweza anza biashara fulani." ndivyo akasema, " Wewe ni mwanabiashara?" "ndio" "aha, unaniuliza pesa ? Pesa ziko kwa mtaani. Unaweza tafuta." hivyo akasema. "Huwasipati." "Huwa hupati? ni nini hiyo?" "Hio, huyo ni panye aliyekufa." "Hio ndio pesa yako." Ona tu.

Hivyo siku hizo kulikuwa na maradhi katika Culcutta. kwa hivyo kulikuwa na tangazo la manispaa kwamba panya yoyote aliyekufa akipelekwa kwa ofisi ya manispaa atalipiwa anasi mbili. kwa hivyo akachukua huyo panya alikua amekufa amkam[eleka kwa ofisi ya manispaa. Akalipwa anasi mbili. Ndivyo akanunua mbegu za mafuta kiasi fulani kwa hizo anasi mbili. na akaziosha halafi akaziuza kwa anasi nne,au tano. Kwa njia hii, tena, tena, tena, huya mtu akawa tajiri. Mmoja wa familia yake alikuwa ndugu yangu kimungu. Familia ya Nandi. hiyo familia ya Nandia bado, wako na watu mia nne ,tano wanaokula kila siku. familia kubwa, ya kiafahali. na familia yao ni kama mtoto kijana au msichana huzaliwa kila siku, Rupees elfu tano wameweka kwa benki. na wakati wa harusi yake ,hizo rupis elfu tano ni dhamana anaweza chukua. vile vile kuna mgao wake katika pesa ya biashara. na kil mtu aliyekwa familia ataendelea kula na kuishi katika mahali pazuri hii ndio... lakini mwanzo, namaanisha kusema, mwanzilishi wa familia hii, Nandi Alianza biashara yake na panya alikuwa amekufa.

hii ni ukweli kabisa, ukweli kabisa, kwa ikiwa mtu anataka kuishi kwa kujitegemea nimeona Culcutta. Hadi wanabiashara maskini ,na asubuhi wanachukua ndengu, mkoba wa ndengu ,na wanaenda mlango kwa mlango. na ndengu zinahitajika kila mahali. Hivyo kila asubuhi anafanya biashara ya ndengu, na asubuhi anachukua mkebe ya mafuta taa. Hivyo kila jioni kila mtu atahitaji mafuta taa. bado utapata katika India , hakuna mtu aliwaitafuta ajira. kidogo tu, chochote alichokipata, kwa kuuza mbegu za mafuta. anafanya kitu baada ya yote Kṛṣṇa anafariji kila mtu. ni makosa kufikiria ya kuwa "huyu mtu ananifariji." Hapana, Maandiko inasema kuwa, eko yo bahūnāṁ vidadhāti kāmān. Ni kuamini Katika Kṛṣṇa, kuwa "Kṛṣṇa amenipatia uhai, Kṛṣṇa amenituma hapa. kwa hivyo atanifariji. kulingana na uwezo wangu , wacha niafanye kitu, na kupitia chanzo hicho, Kṛṣṇa atanifariji."