SW/Prabhupada 0058 - Spiritual Body Means Eternal Life
Lecture on BG 2.14 -- Mexico, February 14, 1975
Kweli, mwili wa kiroho inamaanisha maisha uzima wa milele, furaha na maarifa. Mwili huu ambao tunao wakati huu, duniani, si wa milele, wala furaha wala maarifa. Kila mmoja wetu anajua kuwa mwili huu utaisha. na umejaa ujinga. Hatuwezi kusema chochote kuhusu kilichoko nyuma ya ukuta huu. Tuko na fahamu, lakini yote ni ndogo, sio kamili. Wakati mwingine tunajivunia kwa kuona na kuchangamsha, "Je, unaweza nionyesha Mungu?" lakini tunasahau kukumbuka kwamba mara tu mwanga umeenda, nguvu ya kuona imeisha. Kwa hivyo mwili mzima si kamilifu na imejaa ujinga. Mwili wa kiroho maana imejaa ya maarifa, kinyume tu. Ili tuweze kupata mwili huyo maisha ijayo, na sisi lazima tutayarishe ile mwili tutapata. Tunawezajitayarisha kupata mwili ijayo katika mfumo juu ya sayari. au tunawezatayarisha mwili ijayo kama paka na mbwa, na tunawezatayarisha mwili kama vile milele, maarifa raha. Kwa hivyo mtumwerevu, atajaribu kupata mwili ujao ambayo imejaa furaha, maarifa na ambyo ni daima. Hayo yameelezwa kwenye Bhagavad-gītā. Yad gatvā na nivartante tad dhāma paramaṁ mama (BG 15.6). Mahali huko, kwenye sayari hiyo ama mbingu hiyo pale ambapo utaenda, na hauto rudi katika dunia hii. Katika dunia hii, hata ukipandishwa hadi kwenye sayari Brahma. bado utarudi hapa tena. Na kama utajaribu kwa uwezo wako, kwenda wenye dunia ya kiroho nyumbani kwa Mungu, hauta rudi tena duniani kuchukua mwili huu.